DINNER WITH MY FAMILY. ...

Thursday, October 16, 2014 11 Comments

11 comments:

  1. Unawezaje sema Dinner with my family wakati Baba mwenye nyumba hayupo? It can not be a family without father, mother and children. Acha kujifariji. Pengo la mume halizibiki kamwe.

    ReplyDelete
  2. angekuwa kafa ungeongea niko happy na maisha yangu sio babangu mzazi yule kusema siwezi ishi bila yeye ndio nyie mnateseka kwenye ndoa zenu unashindwa kutoka unaogopa watu watasema nini sijazaliwa kufikiria watu nafanya yangu kwa nafasi imeisha imeisha acha niishi niwezavyo pole kma nimekukera

    ReplyDelete
  3. NASIO KILA MWENYE RAHA DUNIANI ANA NDOA JIFUNZE RAHA NEXT TIME KUMSHAMBULIA DIDA WANGU UMKOME MUME MUME NA KAKUJIBU FRESH JE WALIOFIWA NA WAUME ZAO ULIMBIWA NDIO MWISHO WA RAHA NDIO MIE MKE WA MTU NA RAHA NI NAYO NA PIA ASIE NA MUME VILE VILE RAHA ANAYO MWANZONI NILIKUA SIJAOLEWA NA RAHA BADO NILIKUWA NINAYO USHAMBA WA AKILI MMMH

    ReplyDelete
  4. Anonymous wa 1:34pm una maana kama baba au mama hayupo duniani hiyo sio family?au ndo kujifanya kujua maana ya family wakati hujui looted about family.Wazungu family Ni baba,mama na watoto na ndugu wengine ni extended family but still they are introduce them as a family,Sasa mwenzetu umekalili family ni BMW tu.

    ReplyDelete
  5. wee anonymous ovyoo aliekuambia family haikamiliki bila baba ni nani,kwani Mama na watoto haiwezi kuwa familia ??

    ReplyDelete
  6. heee heeee wakuache mtoto wa watu upumue,kwani huyo jina nimemsahau ndio mwanaume pekeee mbona wabongo ni wangese wana kutwa kucha kutegemea wanaume?hebu mkafie shimoni mtuondolee uvundo mtoto wa watu usiposti picha nyoko nyoko,kwani huyo mwanaume si wajuzi tu hata hii blog kaikuta hebu tulizeni vinyeo mtuachie dida wetu.

    ReplyDelete
  7. Ndio maana yake baba kitu gani kwani ndege ana baba mbona kilasiku yupo na furaha wee nini kwendraaaaaa

    ReplyDelete
  8. Raha ya dunia ni watoto wala si mume

    ReplyDelete
  9. Haa haaa haa didaaaaa DIDA say her name didaaaaaaaaaaaaaaaa mweeeh didalicious lazima Samira aje kuwa ngangari kama mama yake team wanawake oyeeeeeee

    ReplyDelete
  10. vyakula vibaya sana hivyo kwa afya ni hamjui tu

    ReplyDelete
  11. asamehewe mshamba huyo mi mwenyewe na mwanangu tu huwa najiita family kazowea kumtegemea mwanaume ukiona hivyo goal keeper huyo asikushuhulishe dida wanawake wapambanaji hoyeeeeeeeeee!!

    ReplyDelete