MANENO HAYO....
Baada kudai katumia mkorogo wa bei mbaya kubadili ngozi yake sasa Vera Sidika ahamia 'kifuani'
Baada ya kudai ametumia mkwanja mrefu sana kujichubua na kubadili rangi
yake ya ngozi ili kuwa mweupe sasa mrembo aliyejinyakulia sifa kwa umbo
lake matata na video qeen anayewakilisha +254 Vera Sidika aja na
nyingine baada ya kubadili matiti yake ili yawe na mvuto!
Kupitia Instagram,Vera amatupia picha inayoonyesha kifua chake kwa karibu na kutiririka alichofanya bila hofu! Hii ni picha aliyotupia na alichoandika;
Kupitia Instagram,Vera amatupia picha inayoonyesha kifua chake kwa karibu na kutiririka alichofanya bila hofu! Hii ni picha aliyotupia na alichoandika;
“Feels good to be back. Had really missed Nairobi. Now…y’all be
nice and say hello to my new twins #FakeBoobAlert
#CompleteFakenessLoading #NoMorePaddedBras #ActuallyNoBrasAtAll
#Implants #CantWaitForThemToDropAndPopBetter #SexyKenyanGirl
#WithMoneyAllThingsArePossible #IfYouFlatChest
#YouCanBuyYourselfSomeBoobs
Hovyooo ka mchuzi wa jogoo, ndo nini kumkosoa Mungu, hajapendeza hata tindi kama anayonyesha wanajeshi wa marekani kwendraaa kule
ReplyDeletemko wengi..
ReplyDeleteAnoy hapo juu mimekupenda. Atakuwa anyonyesha waasi wa Sudani ya kusini. Yote haya yana mwisho. Haoni wema ameshaharibika uso bz of mikorogo??? acha tuone. Nyambafuuuuuu
ReplyDeletemmh sasa atampenda nani kwa kujiharibu?mbona alikuwa na muonekano safi
ReplyDelete