ALHAMDULLILAH....

Monday, July 28, 2014 3 Comments

3 comments:

  1. Alhamdulillah ndo neno lako na ktk pumzi yako yataje majina yote ya Allah . Unaona mwali wangu jinsi Mola anavyokupa wepesi kwa kila jambo ni hilo neno """"ALHAMDULILLAH.
    Wako kimyaaaaUtadhani si wao walokuwa na kuombea mabaya yote ni ALLLAH
    na wewe ndo unang`ara kaa kitu adimu ALMASI:
    Mola akuzidishie D wandu
    frm Danmark

    ReplyDelete
  2. Kiukweli huwa nakupendaga tu, maana Napata somo toka kwako, upo busy na business kwa kweli nasalute,dawa ya wajinga ni kukaa kimya tu my dear, hilo ndio langu kwako, nakupenda tu japo hunijui

    ReplyDelete
  3. Penda wew Mungu akzidishie

    ReplyDelete