USIKU WA MASHOSTI

USIKU WA MASHOSTI
USIKU WA MASHOSTI NDANI YA DSTV PEKEE

T-SHIRTS

T-SHIRTS
KWA MAHOTAJI YOTE YA T-SHIRTS KWA BEI NAFUU JUMLA NA REJAREJA

Thursday, September 4, 2014

HAYA HAYAAAA SASA MWENDO NI ULE ULE....HABA LA TATOO KWIKWIIII BABA AKO UYO AU MAMAKO.

Mariah Carey na Nick Cannon wavua pete za ndoa lakini...


Pamoja na kuvunjika kwa ndoa yao na kuvua pete za ndoa kidoleni mastaa hawa wawili wanabaki na kumbukumbu nyingine ambayo haivuliki....Wakati wanafunga ndoa mwaka 2008 mastaa hawa walichora tattoo kila mmoja..Nick Cannon alichora mgongoni maandishi makubwa yenye jina Mariah huku Mariah Carey akichora Kipepeo nyuma ya mgongo kikiwa na maandishi ya Kilaini yanayosema Mrs Cannon!

Nick ameonekana bila pete ya ndoa kwa mara ya kwanza alipokuwa akisherehesha shindano la vipaji American Idol, huku Mariah akionekana ameziba kidole chake kinavaliwa pete ya ndoa na pete kubwa ya kipepeo...

Mariah na peta ya butterfly kidoleni huku tatto ikionekana bado
Kushoto Nick akiwa na pete na kulia ni hivi karibuni bila pete kidoleni
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...